iqna

IQNA

imam ali as
Maombolezo
IQNA - Zaidi ya waumini milioni moja walikusanyika kwenye HaramTukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq katika maombolezo yaliyofanyika wakati wa kumbukumbu  ya kifo chake cha kishahidi na kushika sambamba na ibada za Usiku wa Laylatul Qadr.
Habari ID: 3478611    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

Ahul Bayt AS
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, inaandaa programu ya kimataifa ya usomaji wa Qur'ani Tukufu iliyoanza Jumamosi.
Habari ID: 3478227    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21

Nukuu kutoka kwa Nahj al-Balagha /3
TEHRAN (IQNA) – Kwa mtazamo wa Imam Ali (AS), serikali ni njia tu ya kufikia malengo ya juu kama vile uadilifu wa kijamii. Mtazamo huu unaonekana kwa uzuri katika kitabu kikuu Nahj al-Balagha, ambacho ni mkusanyo wa maneno yake.
Habari ID: 3476189    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Utamaduni la Iran mjini Lahore, Pakistani, limeandaa maonyesho kadhaa katika Tamasha la hivi karibuni la Sanaa ya Kiislamu, ikiwa ni pamoja na nakala ya Qur’ani Tukufu iliyonasibishwa kwa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3476145    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Nukuu kutoka Nahjul-Balagha / 2
TEHRAN (IQNA) – Imam Ali (AS) anaashiria kwenye vipengele vya tauhidi safi katika Khutba ya 1 ya Nahj al-Balagha.
Habari ID: 3476092    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Awamu ya Sita ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu na Adhana kwa Waislamu wa Kaskazini mwa Ulaya itafanyika Februari.
Habari ID: 3476062    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/09

Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani /3
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Sadiq Arjun (1903-1981), alikuwa mwanazuoni wa Al-Azhar nchini Misri ambaye aliandika vitabu vingi katika nyuga mbali mbali za sayansi ya Kiislamu. Moja ya vitabu vyake kinaitwa “Kamanda wa Waumini Ali ibn Abi Twalib (AS); Khalifa Bora Ambaye ni Mfano wa Kuigwa”.
Habari ID: 3476021    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika khutba ya 140 ya Nahjul Balagha, Imam Ali (AS) anasisitiza kwamba kusengenya sio sahihi katika mfumo wowote maadili na anapendekeza watu wawatendee wenye dhambi kwa huruma.
Habari ID: 3476016    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Qur'ani Tukufu inasemaje/19
TEHRAN (IQNA) – Akirejea kutoka katika Hijja yake ya mwisho, Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) alipokea aya kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambazo zilifungamanisha kukamilika kwa jumbe zote za Mwenyezi Mungu na ujumbe mmoja maalum.
Habari ID: 3475954    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19

Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani.
Habari ID: 3475516    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/18

Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Jumatatu 18 Julai mwaka 2022 inayosadifiana na tarehe 18 Dhul-hija mwaka 1443 Hijria ni Sikukuu ya Idul Ghadir Khum, moja ya Idi kubwa za Waislamu.
Habari ID: 3475515    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17

Qur'ani Tukufu Inasemaje /18
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuteremshwa aya inayozungumzia kuteuliwa kwa Harun kama naibu wa Musa, Mtume Muhammad (SAW) alimteua mrithi wa ukhalifa wake na hadithi hii imetajwa na wanazuoni na wanahistoria wengi wa Kiislamu kutoka asili tofauti.
Habari ID: 3475508    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16

TEHRAN (IQNA)- Kwa mnasaba wa kuwadi siku kuu ya Idul Ghadir, kumefanyika sherehe ya kupandisha bendera ya Ghadir katika Haram ya Imam Ali (AS).
Habari ID: 3475507    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Suala la Ghadir ni kadhia ya kipekee katika historia ya mwanaadamu, na Mwenyezi Mungu hajalipa tukio lolote lile umuhimu mkubwa kuliko tukio la Ghadir Khum.
Habari ID: 3475506    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15

TEHRAN (IQNA)- Tuko katika kumbukumbu ya tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS ambaye ni shakhsia wa pili katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3475154    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/22

TEHRAN (IQNA)-Tuko katika siku ya kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.
Habari ID: 3474931    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/15

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazoua Mafuta Kwa Wingi Duniani (OPEC) ametembelea Haram Takatifu ya Imam Ali AS mjini Najaf, Iraq.
Habari ID: 3474789    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10

TEHRAN (IQNA)- Mji mkuu wa Uingereza, London, hivi sasa ni mwenyeji wa maonyesho makubwa na ghali zaidi ya Kiislamu ambayo yanaangazia kikamilifu maisha ya binamu yake Mtume Muhammad SAW, Imam Ali AS.
Habari ID: 3474412    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11

TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ali AS mjini Najaf, Iraq ambapo wanaohudumu katika eneo hilo takatifu wametangaza utiifu wao kwa Imam Ali AS.
Habari ID: 3474135    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/28

Rais Hassan Rouhani katika uzinduzi wa Barbara Kuu ya Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya wazi ya kufeli 'mashinikizo ya juu kabisa' ya adui dhidi ya Iran.
Habari ID: 3473683    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/25